At amewatuhumu mamlaka ya mawasiliano tz #tcra kuwa na chuki binafsi na sababu akielezea ni kufungiwa wimbo wake wa zigo remix kuyokuonyeshwa mchana
Kupitia mtandao wa twitter ay amewataka tcra kuandika tena barua ya maelezo kwa madai ya kuwa bado anaziona video chafu kwenye runinga wakati wa mchana huku yake ikifungiwa na kuhoji maadili yako wap
Baada ya Ay kutoa lawama hizo mamlaka hiyo yenye dhamana ya kusimamia mawasiliano nchini imemjibu kwa ufupi na kumtaka afike kwenye ofisi zake ili kujadili hilo na ufafanuzi mwingine
Baadhi ya wadau wa burudani nao hawakuwa mbali katika mtandao huo kutoa mitazamo yao
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment