
Kuelekea ukumbi wa mikutano Ikulu.
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza baraza la mawaziri December 10 2015 ambapo hata hivyo hajamaliza kutaja mawaziri wengine akisema anaangalia ni nani wa kumuweka kwenye hizo wizara zilizobaki

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Rais Magufuli na Waziri mkuu Majaliwa

Picha ya pamoja na Waandishi wa habari

Rais Magufuli, Katibu mkuu kiongozi Sefue, Waziri mkuu Majaliwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu
0 comments:
Post a Comment