www.kenethngamoga.blogspot.com

Mapokezi ya Lowasa Ifakara yapambamoto mji wapambwa kwa Bendera

Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendelela chadema wakiwa wameupendezesha mji wa ifakara kwa bendera za chama chao na ukawa na hii ni katika maandalizi ya kumpokea mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema pia anaeumgwa mkono na vyama viinne vya umoja wa katiba ya wananchi yaan UKAWA


Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment