www.kenethngamoga.blogspot.com

Mtoto wa H Baba ala shavu la kimataifa

H.Baba amejigamba kwa kusema kuwa hakuna staa wa Tanzania mwenye mtoto mwenye mvuto kumzidi mwanae Tanzanite!!!!???
11910480_478248349020724_414603612_n
H.Baba amesema kuwa tayari mtoto wake huyo amepata tangazo la kimataifa nchini Kenya.
“Mwezi ujao mama yake ana safari naye kwenda Kenya kufanya tangazo,” amesema muimbaji huyo. “Sema tunashindwa kuweka wazi mambo yetu kwa sasabu kuwa watu wanapiga simu na kuharibu deals. Pia Tanzania kuna makampuni mengi sana yamejitokeza na wanajua hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite! Lakini tunavutana nao kwa sababu wanaona watamnufaisha Flora au H.Baba, lakini sio kweli, huyu mtoto anavutia Tanzania na ndio mtoto mwenye mashabiki wengi na anavutia hata kwa kumtazama,” amesisitiza
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment